Jinsi ya ku-Detach bila kuzima hisia.
Episode 3
25m | Feb 2, 2026Detachment ni your super power , Detachment sio kukimbia hisia zako au kuzizima na kuwasha akili tu,
Detachment ni kujipenda bila kushikilia chochote nje yako.Kwenye episode hii tunazungumzia hilo kwa undani zaidi.
Kama umechoka ku-attach mpaka kuumia, ku-heal kila siku
episode hii ni kwa ajili yako.

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.
Loading...