• Avoidant & Anxious attachment issues pt2

    Men are not the problem, Dating Pool isn’t shitty either , you’re not intimidating, nobody is scared of you ...kubaki single isn’t a good option either ..Kama umeshajifanyia kazi ila haupati outcomes unazohitaji YOU ARE THE PROBLEM ,attachment issue can hidden like confident or ego too.. hii ep ni kwa ajili yako.

    E9 - 1h 11m - Jul 15, 2026
  • Avoidant & anxious attachment issues, pt1.

    Sambamba na ego kuwa chanzo kikubwa cha kukufanya ushindwe kufurahia maisha na mahusiano pia kuna hizi attachment issue ambazo ni chanzo kingine kikubwa cha wewe kuwa mtumwa wa wengine bila hata kujua.... hii ni pt1.

    E8 - 24m - Jul 12, 2026
  • Jinsi ya kuwa Seductive Woman na faida zake

    Nimezungumzia Nini maana ya Seduction energetically na jinsi ya kuwa mwanamke seductive na utajuaje wewe siyo seductive woman.

    E6 - 1h 2m - Apr 24, 2026
  • The best Sex

    Pt1, Jinsi ya kuwa na the best sex siyo tu bora sex..

    E5 - 18m - Apr 11, 2026
  • Jinsi ya kuanza kujitambua / self-awareness.

    self awareness ndio chanzo cha wewe kuishi vile unavyostahili, kuwa magnetic, irressistable, unforgettable. Let’s dive in.

    E4 - 47m - Mar 14, 2026
  • Jinsi ya ku-Detach bila kuzima hisia.

    Detachment ni your super power , Detachment sio kukimbia hisia zako au kuzizima na kuwasha akili tu,

    Detachment ni kujipenda bila kushikilia chochote nje yako.Kwenye episode hii tunazungumzia hilo kwa undani zaidi.

    Kama umechoka ku-attach mpaka kuumia, ku-heal kila siku

    episode hii ni kwa ajili yako.

    E3 - 25m - Feb 2, 2026
  • Jinsi ya kuwa Self Obsessed

    Kwenye hii episode tunazungumza kuhusu self obsession baby,

    sio ile ya kujisifu sana au ubinafsi usio na maana.

    Nazungumzia ile ya kurudi kwako kama mwanamke Feminine.

    Utajifunza 

    –Maana halisi ya kuwa self-obsessed kama mwanamke

    – Namna ya kuanza kujichagua bila kujisikia hatia

    – Kwa nini kujipenda kuanzia ndani kunabadilisha mahusiano, pesa, na maisha kwa ujumla


    Kama umewahi kujisahau ili upendwe au ukubalike

    episode hii ni kwa ajili yako.

    E2 - 16m - Jan 23, 2026
  • Vitu ambavyo hatuvifanyi in 2026!

    Kwenye hii episode tunazungumzia vitu muhimu sana kuzingatia kwenye huu Mwaka na vitu vya kuachana navyo ili kuwa na the best 2026! kwenye sector zote na lifestyle kwa ujumla, i really want you to not just listen but get into it by doing action starting today.

    E1 - 18m - Jan 13, 2026
  • Unatambua thamani yako?

    Karibu kwenye The Feminine Frequency , mahali ambapo wanawake wanarudi home kwenye mioyo yao, kwenye feminine energy yao, na kwenye thamani yao halisi. Leo kwenye hii ep ya kwanza nataka kukuuliza swali moja tu… Do you really know your worth? Ama umeishi kwenye survival mode kwa muda mrefu mpaka hujijui tena?

    Hapa utasikia version yangu ambayo hujawahi kusikia Instagram, tiktok au YT.More soft. More deep. More real.

    This is your new safe space, baby girl. Welcome home.

    5m - Jan 8, 2026
Paused
Audio Player Image
Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.
Loading...